Nehemiah 9:5

5 aNao Walawi Yeshua, Kadmieli, Bani, Hashabnea, Sherebia, Hodia, Shebania na Pethahia wakasema: “Simameni mkamsifu Bwana Mungu wenu, yeye ambaye ni Mungu tangu milele hata milele.

“Libarikiwe jina lake tukufu, litukuzwe juu ya baraka zote na sifa.
Copyright information for SwhNEN